Nassari amewaonya viongozi hao huku akiwakumbusha kwamba wanatakiwa wafahamu wanajihusisha na watu wa aina gani huku akiwakumbusha kwamba kama wanataka kurekodiwa.
"Onyo kwa RC na DC! acheni kuwatisha wagombea wetu,
acheni kuwatuma watu wakiwemo viongozi wa dini kuwashawishi wajiondoe kwa ahadi
zilezile. Mmesahau mna-deal na watu wa aina gani?? Au bado mnataka
kurekodiwa??" Ameandika Nassari katika mtandao wake wa Facebook.
Mapema mwezi huu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilitangaza
kwamba uchaguzi mdogo wa marudio wa madiwani katika kata 43
utafanyika Novemba 26 mwaka huu, huku Arusha ikiwa imepoteza kata kumi.
No comments:
Post a Comment