• YALIYOMO

    Wednesday, 25 October 2017

    Mapato yaongezeka Mamlaka ya Bandari





    Mamlaka ya Bandari (TPA) imesema idadi ya meli zinazoingia nchini imepungua kutoka 1200 hadi 1000 huku mapato yakiongezeka.



    Sababu zilizotajwa kupungua kwa meli ni uwezo wa kutia nanga kwa meli ambao hutegemea kina cha maji na kwamba kuna meli nyingi ambazo zinasubiri nje ya gati.

    Kina cha maji kuna mahali ni mita saba wakati kwingine ni mita 10.5 na meli nyingi duniani ni kubwa hivyo nyingine kusababisha meli kutofika nchini.

    Sababu nyingine za usalama ambapo kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiibiwa hadi betri na kwamba nyingine ni usimamizi wa sera ambapo awali kulikuwa kuna baadhi ya watu wanaleta mizigo hawalipii.

    No comments:

    Post a Comment

    Contributors

    Powered By Blogger