• YALIYOMO

    Friday, 3 November 2017

    Steve Nyerere awapongeza TRA

    Msanii wa Filamu nchini Steve Nyerere amempongeza mkurugenzi wa wa kampuni ya Msama Promotion kwa kuendelea kuwakamata walanguzi wa kazi za wasanii kwa kudulufu.
     Akizungumza na waandishi wa habari Steven Nyerere ambaye pia ni mwenyekiti wa kikundi cha Wazalendo kwanza amesema kuwa Wasanii wote wanatakiwa kuungana na Msama ili kuwadhi
    biti wafanyabiashara ambvao wanafanya biashara ya kuuza kazi za wasanii kinyume na haki.

    ”Wasanii wote tunatakiwa kuungana na Msama kwa ajiri ya kuwatafuta wafanyabiashara woote wanao dulufu kazi za wasanii Tanzania nzima ili kusudi waweze kunufaika wasanii na kuliin

    Hata hivyo, Steven Nyerere amelipongeza shirika la mapato Tanzania (TRA) kwa kuwasaidia kumuunga mkono Msama katika Harakati zake za kupigania haki za wasanii wa Tanzania ambao wamekuwa wakikosa mapato yao mengi kutokana wanao uza kazi zao bila kufuata taratibu.

    Jana TRA kupitia kamishina wa kodi za ndani Elijah Mwandubya walifanikiwa kuwakamata wafanyabiashara wanao uza kazi za wasanii bila kufata utaratibu na kuwafungia maduka yao.

    No comments:

    Post a Comment

    Contributors

    Powered By Blogger