Yanga Sports Club leo imesaini mkataba mpya wa miaka mitatu (3) na kampuni ya Macron ambayo makao makuu yake yapo nchini Italy.
Mkataba huo umesaini na katibu mkuu wa Yanga Boniphase Mkwsa leo katika makao makuu ya timu viunga vya Jangwani.
Mkataba huo umesaini na katibu mkuu wa Yanga Boniphase Mkwsa leo katika makao makuu ya timu viunga vya Jangwani.
Kampuni iyo inayojiusisha na masuala ya kutengeza jezi imeisainisha timu ya Yanga kwa muda wa miaka mitatu itakuwa inaivalisha jezi Yanga kuanzia jezi za mazoezi, mechi za ugenini na nyumbani.
Pia imetoa onyo kwa wale wote wanaouza jezi za Yanga kiujanja ujanja waache kabisa kujihusisha na kuuza bila kupitia kwa kampuni iyo ya Macron.
Aidha Mkurugenzi wa tawi la Macron nchini Tanzania Bw.Saleh amesema kuwa wana project kubwa hapa Tanzania na wameona Yanga ni club kubwa na itakuwa vizuri kufanya nao kazi ndo mana wakaja uku na kuwapa mkataba na wakaupokea vizuri na wameshukulu mambo yameenda vizuri na wamekuja Tanzania kuendeleza maendeleo michezo ''Amesema''
No comments:
Post a Comment